Ocena:

Obecnie brak opinii czytelników. Ocena opiera się na 2 głosach.
Kifo kaja duniani. Akikuchekea umekwisha...
Akikusalimu umekwisha... Hana mdhaha... Lakini yeye anataka watu wakubwa zaidi.
Afryka nie jest już tak niebezpieczna jak kiedyś. Na anataka hilo litokee siku moja, saa moja...
„Bendera zote duniani zipepee nusu mlingoti,” anasema akichekelea. „Sijawahi kushindwa...” Jasho linawatoka watu mashuhuri: Damu inamwagika kama mchezo.
Inspekta kombaro machozi yanamtoka. Joram Kiango kaduwaa.